Matendo 27:21
Matendo 27:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na walipokuwa wamekaa wakati mwingi bila kula chakula, Paulo akasimama katikati yao, akasema, Wanaume, iliwapasa kunisikiliza mimi na kutokung’oa nanga huko Krete, na kupata madhara haya na hasara hii.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kukaa muda mrefu bila kula chakula, Paulo alisimama kati yao, akasema, “Waheshimiwa, ingalikuwa afadhali kama mngalinisikiliza na kuacha kusafiri kutoka Krete. Kama mngalifanya hivyo tungaliiepuka shida hii na hasara hizi zote.
Shirikisha
Soma Matendo 27