Matendo 27:2
Matendo 27:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Tulipanda meli ya Adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa za mkoa wa Asia, tukaanza safari. Aristarko, mwenyeji wa Makedonia kutoka Thesalonike, alikuwa pamoja nasi.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tukapanda katika merikebu ya Adramitio iliyokuwa tayari kusafiri mpaka miji ya pwani za Asia, tukatweka; Aristarko, Mmakedonia wa Thesalonike, akiwa pamoja nasi.
Shirikisha
Soma Matendo 27