Matendo 27:18-19
Matendo 27:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli. Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kwa maana tulikuwa tukipigwa sana na ile tufani, kesho yake wakaanza kuitupa shehena baharini. Siku ya tatu wakatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yao wenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 27