Matendo 27:1
Matendo 27:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipokwisha amua tusafiri mpaka Italia, walimweka Paulo pamoja na wafungwa wengine chini ya ulinzi wa Yulio aliyekuwa ofisa wa jeshi katika kikosi kiitwacho “Kikosi cha Augusto.”
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ilipoamriwa tuabiri hadi Italia, wakamtia Paulo na wafungwa wengine katika mikono ya ofisa mmoja, jina lake Yulio, wa kikosi cha Augusto.
Shirikisha
Soma Matendo 27