Matendo 23:31-32
Matendo 23:31-32 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, hao askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri. Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.
Shirikisha
Soma Matendo 23Matendo 23:31-32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, wale askari wakamchukua Paulo kama walivyoamriwa, wakampeleka hadi Antipatri usiku; hata asubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja naye, nao wakarudi zao ngomeni.
Shirikisha
Soma Matendo 23