Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 23:31-32

Matendo 23:31-32 NEN

Hivyo askari, kwa kufuata maelekezo waliyopewa, wakamchukua Paulo wakati wa usiku na kumleta mpaka Antipatri. Kesho yake wakawaacha wale wapanda farasi waendelee na safari wakiwa na Paulo, wao wakarudi kwenye ngome ya askari.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 23:31-32

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha