Matendo 2:9-10
Matendo 2:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadhi yetu ni Waparthi, Wamedi na Waelamu; wengine ni wenyeji wa Mesopotamia, Yudea, Kapadokia, Ponto na Asia, Frugia na Pamfulia, Misri na sehemu za Libia karibu na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waparthi na Wamedi na Waelami, nao wakaao Mesopotamia, Yudea na Kapadokia, Ponto na Asia, Frigia na Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene, na wageni watokao Rumi, Wayahudi na waongofu
Shirikisha
Soma Matendo 2