Matendo 2:7-8
Matendo 2:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya? Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe?
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya? Imekuwaje basi sisi kusikia kila mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo?
Shirikisha
Soma Matendo 2