Matendo 2:47
Matendo 2:47 Biblia Habari Njema (BHN)
Walimtukuza Mungu, wakapendwa na watu wote. Kila siku Bwana aliwaongezea idadi ya watu waliokuwa wakiokolewa.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.
Shirikisha
Soma Matendo 2