Matendo 2:34-35
Matendo 2:34-35 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, hadi niwafanye adui zako kiti cha miguu yako.’
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:34-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Daudi hakupanda mbinguni; bali yeye mwenyewe anasema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti upande wa mkono wangu wa kulia. Hata nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.
Shirikisha
Soma Matendo 2