Matendo 2:3-4
Matendo 2:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, vikatokea vitu vilivyoonekana kama ndimi za moto, vikagawanyika na kutua juu ya kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema lugha mbalimbali kadiri Roho alivyowawezesha.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Shirikisha
Soma Matendo 2