Matendo 2:25
Matendo 2:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Daudi ataja habari zake, Nilimwona Bwana mbele yangu siku zote, Kwa kuwa yuko upande wa mkono wangu wa kulia, nisitikisike.
Shirikisha
Soma Matendo 2