Matendo 2:18
Matendo 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, hata watumishi wangu wa kiume na kike, nitawamiminia Roho wangu siku zile, nao watatoa unabii.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.
Shirikisha
Soma Matendo 2