Matendo 2:1-2
Matendo 2:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. Ghafla, sauti ikasikika kutoka angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikaijaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafla toka mbinguni sauti kama mvumo wa upepo mkali ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.
Shirikisha
Soma Matendo 2