Matendo 19:23-24
Matendo 19:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana. Kulikuwa na mfua fedha mmoja aitwaye Demetrio, ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu wa kike aitwaye Artemi. Shughuli hiyo iliwapatia mafundi wake faida kubwa.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati huo kukatokea ghasia si haba kuhusu Njia ile. Kwa maana mtu mmoja, jina lake Demetrio, mfua fedha, aliyekuwa akifanya vihekalu vya fedha vya Artemi, alikuwa akiwapatia mafundi faida nyingi.
Shirikisha
Soma Matendo 19