Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 19:23-24

Mdo 19:23-24 SUV

Wakati huo kukatukia ghasia si haba katika habari ya Njia ile. Kwa maana mtu mmoja, jina lake Demetrio, mfua fedha, aliyekuwa akifanya vihekalu vya fedha vya Artemi, alikuwa akiwapatia mafundi faida nyingi.

Soma Mdo 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 19:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha