Matendo 19:17-18
Matendo 19:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mtu huko Efeso, Myahudi na asiye Myahudi, alisikia juu ya tukio hilo. Wote waliingiwa na hofu, wakalitukuza jina la Bwana Yesu. Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Habari hii ikajulikana na Wayahudi wote na Wagiriki waliokaa Efeso, hofu ikawaingia wote, na jina la Bwana Yesu likatukuzwa. Na wengi wa wale walioamini wakaja wakaungama, wakidhihirisha matendo yao.
Shirikisha
Soma Matendo 19