Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:17-18

Matendo 19:17-18 BHN

Kila mtu huko Efeso, Myahudi na asiye Myahudi, alisikia juu ya tukio hilo. Wote waliingiwa na hofu, wakalitukuza jina la Bwana Yesu. Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 19:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha