2 Wakorintho 6:17-18
2 Wakorintho 6:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea. Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wanangu, waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Nguvu.”
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6