1 Samueli 12:9
1 Samueli 12:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wao walimsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, naye akawatia mikononi mwa Sisera, kamanda wa jeshi la Hazori, na mikononi mwa Wafilisti na mikononi mwa mfalme wa Moabu. Mataifa hayo yalipigana na babu zenu na kuwashinda.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wakamsahau BWANA, Mungu wao, naye akawauza na kuwatia katika mikono ya Sisera, jemadari wa jeshi la Hazori, na katika mikono ya Wafilisti, na katika mikono ya mfalme wa Moabu, nao wakapigana nao.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12