1 Samueli 12:8
1 Samueli 12:8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yakobo na jamaa yake walipokwenda Misri, na Wamisri walipowakandamiza, babu zenu walimlilia Mwenyezi-Mungu; naye akawatuma Mose na Aroni ambao waliwatoa babu zenu nchini Misri na kuwafanya mkae katika nchi hii.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakobo alipokuwa ameingia Misri, na baba zenu walipomlilia BWANA, ndipo BWANA akawapeleka Musa na Haruni, nao wakawatoa baba zenu kutoka Misri, wakawakalisha mahali hapa.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12