1 Petro 4:9-10
1 Petro 4:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika. Kila mmoja anapaswa kutumia kipaji alichojaliwa na Mungu kwa faida ya wengine kama wakili mwema wa zawadi mbalimbali za Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung'unika; kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung’unika; kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 4