1 Petro 4:7-8
1 Petro 4:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwisho wa vitu vyote umekaribia. Kwa hiyo mnapaswa kuwa na utaratibu na kukesha ili muweze kusali. Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. Zaidi ya yote iweni na bidii kubwa katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 4