1 Wafalme 6:4-5
1 Wafalme 6:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliiwekea nyumba hiyo madirisha mapana kwa ndani na membamba kwa nje. Pia alijenga nguzo kuzunguka, ili kutegemeza ukuta wa nje; akatengeneza na vyumba vya pembeni kila upande.
1 Wafalme 6:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaifanyia nyumba madirisha ya miangaza yenye kimia. Nao ukuta wa nyumba akauzungushia vyumba, kushikamana na kuta za nyumba kotekote, za hekalu na za chumba cha ndani; akafanya vyumba vya mbavuni pande zote.
1 Wafalme 6:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akaifanyia nyumba madirisha ya miangaza yenye kimia. Nao ukuta wa nyumba akauzungushia vyumba, kushikamana na kuta za nyumba kote kote, za hekalu na za chumba cha ndani; akafanya vyumba vya mbavuni pande zote.