1 Wafalme 6:25-26
1 Wafalme 6:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Urefu wa kiumbe mmoja ulikuwa mita 4.5; pia urefu wa kiumbe mwingine ulikuwa uleule.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili walikuwa ya cheo kimoja na namna moja. Kwenda juu kwake kerubi moja kulikuwa mikono kumi, na kerubi la pili vivyo hivyo.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6