1 Wafalme 6:20
1 Wafalme 6:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Chumba hicho kilikuwa na urefu wa mita 9, upana wa mita 9, na kimo cha mita 9; nacho kilipambwa kwa dhahabu safi. Pia, alitengeneza madhabahu kwa mbao za mierezi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ndani yake chumba hicho cha ndani mlikuwa na nafasi, mikono ishirini urefu, na mikono ishirini upana, na mikono ishirini kwenda juu kwake; akaifunika na dhahabu safi. Akaifunika madhabahu nayo kwa mwerezi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6