1 Wafalme 6:15
1 Wafalme 6:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Upande wa ndani wa kuta za nyumba aliufunika kwa mbao za mierezi, kutoka sakafuni mpaka kwenye boriti za dari; na sakafu akaitandika mbao za miberoshi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akazijenga kuta za nyumba ndani kwa mbao za mwerezi; toka sakafu ya nyumba hata boriti za juu, akazifunika ndani kwa mti; akafunika sakafu ya nyumba kwa mbao za mberoshi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6