1 Mambo ya Nyakati 24:7-18
1 Mambo ya Nyakati 24:7-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kura ya 1 ilimwangukia Yoaribu; ya 2 Yedaya; ya 3 Harimu; ya 4 Seorimu; ya 5 Malkia; ya 6 Miyamini; ya 7 Hakosi; ya 8 Abiya; ya 9 Yeshua; ya 10 Shekania; ya 11 Eliashibu; ya 12 Yakimu; ya 13 Hupa; ya 14 Yeshebeabu; ya 15 Bilga; ya 16 Imeri; ya 17 Heziri; ya 18 Hapisesi; ya 19 Pethahia; ya 20 Yehezkeli; ya 21 Yakini; ya 22 Gamuli; ya 23 Delaya; na ya 24 Maazia.
1 Mambo ya Nyakati 24:7-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kura ya kwanza ikamtokea Yehoiaribu, na ya pili Yedaya; ya tatu Harimu, ya nne Seorimu; ya tano Malkia, ya sita Miyamini; ya saba Hakosi, ya nane Abia; ya tisa Yeshua, ya kumi Shekania; ya kumi na moja Eliashibu, ya kumi na mbili Yakimu; ya kumi na tatu Hupa, ya kumi na nne Yeshebeabu; ya kumi na tano Bilga, ya kumi na sita Imeri; ya kumi na saba Heziri, ya kumi na nane Hapisesi; ya kumi na tisa Pethahia, ya ishirini Ezekieli; ya ishirini na moja Yakini, ya ishirini na mbili Gamuli; ya ishirini na tatu Delaya, ya ishirini na nne Maazia.
1 Mambo ya Nyakati 24:7-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kura ya kwanza ikamtokea Yehoiaribu, na ya pili Yedaya; ya tatu Harimu, ya nne Seorimu; ya tano Malkia, ya sita Miyamini; ya saba Hakosi, ya nane Abia; ya kenda Yeshua, ya kumi Shekania; ya kumi na moja Eliashibu, ya kumi na mbili Yakimu; ya kumi na tatu Hupa, ya kumi na nne Yeshebeabu; ya kumi na tano Bilga, ya kumi na sita Imeri; ya kumi na saba Heziri, ya kumi na nane Hapisesi; ya kumi na kenda Pethahia, ya ishirini Ezekieli; ya ishirini na moja Yakini, ya ishirini na mbili Gamuli; ya ishirini na tatu Delaya, ya ishirini na nne Maazia.
1 Mambo ya Nyakati 24:7-18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kura ya kwanza ilimwangukia Yehoyaribu, ya pili Yedaya, ya tatu Harimu, ya nne Seorimu, ya tano Malkiya, ya sita Miyamini, ya saba Hakosi, ya nane Abiya, ya tisa Yeshua, ya kumi Shekania, ya kumi na moja Eliashibu, ya kumi na mbili Yakimu, ya kumi na tatu Hupa, ya kumi na nne Yeshebeabu, ya kumi na tano Bilga, ya kumi na sita Imeri, ya kumi na saba Heziri, ya kumi na nane Hapisesi, ya kumi na tisa Pethahia, ya ishirini Yehezkeli, ya ishirini na moja Yakini, ya ishirini na mbili Gamuli, ya ishirini na tatu Delaya, ya ishirini na nne Maazia.