1 Mambo ya Nyakati 24:3
1 Mambo ya Nyakati 24:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Daudi aliwapanga wazawa wa Aroni katika makundi kufuatana na huduma zao. Alisaidiwa kufanya hivyo na Sadoki, mzawa wa Eleazari, na Ahimeleki, mzawa wa Ithamari.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 241 Mambo ya Nyakati 24:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawagawanya Daudi, na Sadoki wa wana wa Eleazari, na Ahimeleki wa wana wa Ithamari, katika utumishi kwa kadiri ya huduma yao.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 24