1 Mambo ya Nyakati 24:22-23
1 Mambo ya Nyakati 24:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmoja wa wazawa wa Ishio alikuwa Shelomithi na wa wazawa wa Shelomithi alikuwa Yahathi. Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria wa kwanza, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, Yakameamu wa nne.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 241 Mambo ya Nyakati 24:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wa Waishari, Shelomothi; wa wana wa Shelomothi, Yahathi. Na wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, Yekameamu wa nne.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 24