Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:1-2

Wafilipi 3:1-2 BHN

Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika kuungana na Bwana. Sichoki kurudia yale niliyokwisha andika pale awali, maana yatawaongezeeni usalama. Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa, watu wanaosisitiza kujikata mwilini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 3:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha