Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 37:5-7

Yobu 37:5-7 BHN

Mungu hupiga radi ya ajabu kwa sauti yake, hufanya mambo makuu tusiyoweza kuyaelewa. Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya nchi!’ Na manyunyu na mvua, ‘Nyesha kwa nguvu.’ Hufunga shughuli za kila mtu; ili watu wote watambue kazi yake.

Soma Yobu 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 37:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha