Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 36:17-19

Yobu 36:17-19 BHN

“Lakini sasa umehukumiwa kama mwovu, hukumu ya haki imekukumba. Jihadhari ghadhabu isije ikakufanya ukadhihaki, au ukubwa wa mali za kukukomboa ukakupotosha. Je, kilio chako kitafaa kukutoa taabuni, au nguvu zako zote zitakusaidia?

Soma Yobu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 36:17-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha