Kumbukumbu la Sheria 4:16-18
Kumbukumbu la Sheria 4:16-18 BHN
msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike, wa mnyama yeyote duniani au ndege, au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini.