Kumbukumbu la Sheria 11:25
Kumbukumbu la Sheria 11:25 BHN
Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuwakabili. Popote mtakapokwenda katika nchi hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawatia watu hofu wawaogope, kama alivyowaahidi.