Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 23:12-13

Matendo 23:12-13 BHN

Kulipokucha, Wayahudi walifanya kikao cha faragha. Wakala kiapo: “Hatutakula wala kunywa mpaka tutakapokuwa tumekwisha muua Paulo.” Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 23:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha