1 Mambo ya Nyakati 24:24-26
1 Mambo ya Nyakati 24:24-26 BHN
Mmoja wa wana wa Uzieli alikuwa Mika. Mmoja wa wazawa wa Mika alikuwa Shamire. Mmoja wa wazawa wa Ishia nduguye Mika alikuwa Zekaria. Wana wa Merari: Mahli, Mushi na Yaazia