Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 15:5-6

Ufunuo 15:5-6 SRUV

Na baada ya hayo nikaona, na hekalu la hema ya ushuhuda mbinguni lilifunguliwa; na wale malaika saba, wenye mapigo saba, wakatoka katika hekalu, wamevikwa mavazi ya kitani safi, ya kung'aa, wamefungwa vifuani mwao mishipi ya dhahabu.

Soma Ufunuo 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 15:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha