BWANA ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika. BWANA ni mkuu katika Sayuni, Naye ametukuka juu ya mataifa yote. Na walisifu jina lake kuu litishalo; Ndiye mtakatifu.
Soma Zaburi 99
Shirikisha
linganisha matoleo yote: Zaburi 99:1-3
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video