Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 36:15-16

Ayubu 36:15-16 SRUV

Yeye humponya aliyetaabika kwa njia ya taabu yake, Na kuyafunua masikio yao kwa maonevu. Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana kizuizi; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.

Soma Ayubu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 36:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha