Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 36:11-14

Ayubu 36:11-14 SRUV

Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha. Lakini wasiposikia, wataangamia kwa upanga, Nao watakufa pasipo maarifa. Lakini hao wasiomcha Mungu mioyoni hujiwekea hasira Hawalilii msaada hapo awafungapo. Wao hufa wakingali vijana, Na uhai wao huangamia katikati ya wachafu.

Soma Ayubu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 36:11-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha