Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 14:5-7

Yohana 14:5-7 SRUV

Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi tunaijuaje njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.

Soma Yohana 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 14:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha