Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 6:7-9

Hosea 6:7-9 SRUV

Lakini wao wamelivunja hilo agano kama Adamu; huko wamenitenda mambo ya hiana. Gileadi ni mji wa hao watendao maovu, umetiwa rangi ya damu. Na kama vile makundi ya wanyang'anyi wamwoteavyo mtu, ndivyo kundi la makuhani wauavyo katika njia ielekeayo Shekemu; naam, wametenda mambo maovu sana.

Soma Hosea 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 6:7-9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha