Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:1-3

Waefeso 4:1-3 SRUV

Kwa hiyo nawasihi, mimi niliye mfungwa katika Bwana, mwende kama inavyoustahili wito wenu mlioitiwa; kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo; na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.

Soma Waefeso 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha