Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:6-7

Matendo 27:6-7 SRUV

Na huko yule ofisa akakuta merikebu ya Aleksandria, tayari kusafiri kwenda Italia, akatupandisha humo. Tukasafiri polepole kwa muda wa siku nyingi, tukafika mpaka Nido kwa shida; na kwa sababu upepo ulikuwa ukituzuia tukapita chini ya Krete, tukaikabili Salmone.

Soma Matendo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:6-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha