Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:4-5

Matendo 27:4-5 SRUV

Kutoka huko tukiwa baharini, tukasafiri chini ya Kipro ili kujikinga upepo, kwa maana upepo ulikuwa unatukabili. Tulipopita bahari ya upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira, mji wa Likia.

Soma Matendo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:4-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha