Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:12

Matendo 27:12 SRUV

Na kwa sababu bandari ile ilikuwa haifai kukaa wakati wa baridi, wengi wao wakatoa shauri la kutweka kutoka huko ili wapate kufika Foinike, kama ikiwezekana, na kukaa huko wakati wa baridi; nayo ni bandari ya Krete, inaelekea kaskazini mashariki na kusini mashariki.

Soma Matendo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha