Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 23:33-35

Matendo 23:33-35 SRUV

Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake. Naye alipokwisha kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa mkoa gani? Alipoarifiwa ya kuwa ni mtu wa Kilikia, akasema, Nitakusikia wewe watakapokuja wale waliokushitaki; akaamuru alindwe katika nyumba ya utawala wa Herode.

Soma Matendo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 23:33-35

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha