Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 23:23-25

Matendo 23:23-25 SRUV

Akawaita maofisa wawili, akasema, Wekeni tayari askari mia mbili kwenda Kaisaria, na askari wapanda farasi sabini, na wenye mikuki mia mbili, kabla ya saa tatu usiku. Akawaambia kuweka wanyama tayari wampandishe Paulo, na kumchukua salama kwa Feliki mtawala. Akaandika barua, juu ya hili

Soma Matendo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 23:23-25

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha