Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 4:13-14

1 Wathesalonike 4:13-14 SRUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa tunaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 4:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha